GOR MAHIA WAADHIBIWA NA BANDARI
Mechi ya Gor Mahia dhidi ya Bandari katika uwanja wa Ukunda Showground ilisitishwa mara mbili hapo jana baada ya mashabiki kuzua fujo dakika ya 80, muda mfupi baada ya Bandari kufunga bao lao la pili na kuwa mbele kwa mabao 2-0. Mwamuzi Kelvin Maina alisimamisha mchezo na kuwakusanya wachezaji katikati ya uwanja. Baada ya kusimama […]
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































