KENYA YATOA HATI KWA VYUO VIKUU VIWILI VIPYA
Wanafunzi ambao wana hamu ya kusomea katika chuo kikuu cha kitaifa cha Utafiti wa ujajusi wana kila sababu ya kutabamu baada ya chuo hicho kukabilthiwa hati rasmi za kuhudumu na Rais William Ruto. Rais William Ruto ametoa hati kwa Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Utafiti wa Ujasusi na Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Kenya, na […]
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































