OGAM AFURAHISHWA KUITWA KAKWE KWA KIKOSI CHA HARAMBEE STARS

Mshambulizi wa Tusker FC Ryan Wesley Ogam bado anafurahia kuitwa kwake na kocha mkuu Engin Firat kwenye timu ya taifa ya kandanda mapema wiki jana. Ogam alikuwa miongoni mwa wachezaji 11 wapya waliokuwa wameitwa kujiunga na Harambee Stars kwa mechi muhimu ya marudiano ya kuwania kufuzu kwa CHAN dhidi ya Sudan Kusini ambayo iliisha kwa […]

MAKALA YA CHEMUSUSU YAZINDULIWA RASMI

Makala ya tisa ya Chemususu Dam Half Marathon yamezinduliwa leo jijini Nairobi kabla ya mashindano hayo yanayopangwa kufanyika Novemba 16 huko Baringo, Elgeyo Marakwet. Waziri wa Michezo Kipchumba Murkomen amesema mbio hizo za nusu marathoni za Chemususu Dam , zinaleta mabadiliko chanya zaidi kama uhifadhi wa mazingira, kujenga utangamano na umoja miongoni mwa jamii. Lengo […]

TUWEI ANA MIPANGO YA KUMRITHI SEBASTIAN COE

Rais wa shirikisho la Riadha nchini (AK) Lt. Jenerali (Mst) Jackson Tuwei ameweka nia yake moyoni mwake kuhusu uwezekano wa kumrithi Lord Sebastian Coe kama rais wa shirikisho la riadha ulimwenguni, iwapo Coe atachaguliwa rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC). Tuwei, ambaye pia anahudumu kama Makamu wa Rais wa shirikisho hilo duniani, ameongoza […]

LEE AWAITA WACHEZAJI WAWILI KIKOSINI

Kaimu mkufunzi wa timu ya taifa ya England Lee Carsley amewaita kwa mara ya kwanza beki wa Southampton Taylor Harwood-Bellis na beki wa pembeni wa Newcastle United Lewis Hall kwa ajili ya mechi za Ligi ya Mataifa ya ulaya mwezi huu. Three Lions watamenyana na Ugiriki tarehe 14 Novemba na Jamhuri ya Ireland tarehe 17 […]

SITUMA ATOA WITO KWA GOR NA AFC KUTAFUTA SULUHU

Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Kenya James Situma ametoa wito kwa Gor Mahia na AFC Leopards kutatua haraka masuala yao ya kiufundi na usimamizi, ili kurejesha makali yao ya ushindani ndani ya nchi. Timu zote mbili zimepata tabu katika mechi zao za hivi majuzi na kwa mujibu wa Situma, yote yanatokana na tofauti za […]

WAZAZI WATAKIWA KUTUMIA RASLIMALI ZAO KWA UMAKINI

Wito umeolewa kwa wazazi kulinda raslimali walizonazo ili kuzuia maangaiko wakati wa kuwarejesha wanao shuleni mwaka ujao. Gavana wa transnzoia George Natembeya amewaraoi wazazi kutumia vyema raslimali chache wazizonazo nwakati huu wa msimu wa krismass wakifahamu kwamba mwaka ujao watahitajika kuwalipia wanao karo ya shule,na kuendeleza shughuli nyingine za kiuchumi. Natembeya aidha amewashauri wazazi kutenga […]

MASHIRIKA YA KIJAMII YALITAKA BUNGE LA KITAIFA KUPITISHA MSWADA WA MGAO WA FEDHA KWA KAUNTI

Muungano wa mashirika ya kijamii eneo la pwani umeitaka bunge la Kitaifa na lile la seneti kuharakisha mchakato wa kupitisha mswada wa mgao wa fgedha klwa kaunti 2024. Mwenyekiti wa muungano huo Zedekiah Adika amesema kuwa kucheleweshwa kupitishwa kwa muswada huo kum etatiza kuendelezwsa kwa shughuli mbali mbali za ugatuzi. Imetayarishwa na Janice Marete

WANAFUNZI WA GREDI YA TISA WAHAKIKISHIWA KUSOMA BILA MATATIZO YOYOTEKUSOMAWANAFUNZI WA GREDI YA TISA WAHAKIKISHIWA KUSOMA BILA MATATIZO YOYOTE

Wanafunzi wa gredi ya tisa wamehakikishiwa kuwa wataendelea na masomo yao bila tatizo lolote mwaka ujao. Serikali ya kitaifa imeweka mikakati kufanikisha ujenzi wa madarasa 16000 katika shule mbali mbal.i nchini kabla ya mwezi jan uari mwaka ujao, hay ani kwa mujibu wa naibu mkuu wa wafanyikazi katika afisi yar ais Eliud Owalo. Owalo ameongeza […]

‘MGENI’ WA GHAFLA DARASANI ASITISHA KCSE MOMBASA

Polisi katika kaunti ya Mombasa wanaendeleza uchunguzi katika kisa ambapo watahiniwa 5 wa mtihani wa KCSE katika shule ya wasichana Makande wamelazwa hospitalini baada yao kuvuta gesi iliyoenea darasani walipokuwa wakijitayarisha kwa mtihani huo. Kwenye tukio hilo ambapo watahiniwa 8 wamezirai, walimu na maafisa wa polisi wamelazimika kusitisha mtihani kwa muda ili kuwaondoa wanafunzi shuleni […]