“POMBE YA MAUTI NA JELA”
Mahakama Kuu mjini Eldoret imewahukumu wafanyakazi wawili kifungo cha miaka 15 gerezani kwa kuhusika na mauaji ya kikatili ya mfanyakazi mwenzao wakati wa unywaji wa pombe. Walipofikishwa mbele ya Jaji Reuben Nyakundi, wawili hao, Daniel Kiprotich na Meshack Kipchirchir, wamepatikana na hatia ya kumuua Nicholas Tenai mnamo Septemba 28, 2019, katika kituo cha biashara cha […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































