MUTURI HAKUFUTWA, OWINO ADAI
Hisia mbali mbali zimeendelea kutolewa kuhusiana na hatua ya rais William Ruto kumtimua waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi na kumteua mbunge wa Mbeere North Goerffrey Ruku Kujaza nafasi hiyo, mkuu wa kituo cha kitaifa cha mawasiliano, NCC Charles Owino akisema kuwa Muturi alijiuzulu wala hakufutwa ili kujinufaisha kisiasa. Owino ameyasema haya kwenye mahojiano […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































