AFUENI YA MASOMO WEBUYE EAST
Ni afueni kwa wanafunzi wa vyuo vya anuai na vile vya utabibu katika eneo bunge la Webuye Mashariki baada ya hazina ya ustawishaji eneo bunge hilo kuzindua basari ya shilingi milioni 5 kufadhili masomo yao. Akizungumza baada ya kuzindua zoezi hilo afisini mwake mjini Webuye, mbunge wa eneo hilo Martin Wanyonyi amekariri kuwa fedha hizo […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































