VIHIGA QUEENS YATOA KILIO CHA VITA VYA TAJI BAADA YA KUKANDAMIZA USHINDI WA WIKENDI

Kocha mkuu wa Vihiga Queens, Boniface Nyamunyamuh anasema ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Bunyore Starlets wikendi umeweka taji la FKF WPL kwenye mstari. Mabao kutoka kwa Diana Cherono, Noel Amutata na Martha Amunyolete, ulitosha kwa upande wa Kidundu kupata pointi nyingi zaidi.  Mabingwa hao mara nne sasa wako katika nafasi ya tatu wakiwa na […]

Mastering Cross‑Platform Slot Play: A Complete Guide to Bonuses and Safety

Mastering Cross‑Platform Slot Play: A Complete Guide to Bonuses and Safety The world of online slots is no longer confined to desktop browsers. Players now spin reels on smartphones, tablets, and even smart‑TV apps. This shift has created a truly mobile‑first market where speed, graphics, and ease of use matter as much as the games […]

NAIROBI KUGHARAMIA KIFUA KIKUU, USAID YAJIONDOA

Katika juhudi za kuhakikisha wagonjwa wa kifua kikuu katika kaunti ya Nairobi wanaendelea kupokea huduma za matibabu dhidi ya ugonjwa huo, serikali ya kaunti hiyo italazimika kutafuta njia mbadala za kufadhili matibabu hayo hasa baada ya kubainika kuwa imepoteza zaidi ya shilingi bilioni 1 kutokana na kukatizwa kwa ufadhili wa shirika la Marekani la USAID. […]

IEBC: NYACHAE AKANA ‘MAZOEA’ YA KUJIUZULU

Zoezi la kuwahoji wakenya 11 wanaotaka kuchukua wadhifa wa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC linaendelea, Charles Nyachae akilihakikishia jopo linalomhoji kuwa atatekeleza majukumu yake ipasavyo ili kuhakikisha uchaguzi huru na haki iwapo atapewa wadhifa huo. Akiwa mbele ya jopo hilo, Nyachae amekanusha uwezekano wake yeye kujiuzulu iwapo atateuliwa, jinsi alivyofanya kutoka […]

SIASA MBAYA MAISHA MBAYA

Zaidi ya shilingi bilioni 608 hupotea kila mwaka humu nchini kupitia uifisadi, mwingiliano wa kisiasa ukitajwa kuwa kikwazo kikubwa katika kutoa haki kwenye kesi mbali mbali za ufisadi. Haya ni kulingana na ripoti ya shirika la Transparency International, mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Shilla Masinde akisema kesi nyingi zimekosa kuendelea kutokana na mwingiliano wa wanasiasa. […]

MLINZI WA MSEMAJI WA IKULU AMUUA RAIA

Polisi wa Muthangari wanachunguza kisa ambapo mlinzi wa Msemaji wa Ikulu, Hussein Mohamed, anadaiwa kumpiga risasi na kumuua raia mmoja, Amos Lang’at (38), katika eneo la Muthangari, Nairobi. Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, mlinzi huyo, Muhammed Yusuf Keinan, amedai kushambuliwa na wanaume watatu akielekea usiku wa kuamkia leo, na kufyatua risasi, ambapo mmoja aliaga dunia […]

ALIYEKUWA MBUNGE WA KISUMU TOWN WEST KENN NYAGUDI AMEFARIKI

Aliyekuwa Mbunge wa Kisumu Town West, Kenn Nyagudi, ameaga dunia. Nyagudi amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa anapokea matibabu katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula, ameongoza viongozi kutuma risala za rambirambi, akiwapa pole familia na marafiki wa Nyagudi huku akiombea faraja kwa wapendwa wake. Imetayarishwa na Janice Marete

MWANAUME AKAMATWA KWA KUMUUA BINAMU YAKE MIGORI

Polisi wamemkamata mwanamume wa miaka 27 kwa madai ya kumchoma kisu na kumuua binamu yake wa miaka 21 katika Kaunti ya Migori. Kulingana na Naibu Chifu William Jabed, ugomvi kati ya wawili hao umesababisha mshukiwa, Fred Ngere, kurejea nyumbani kuchukua kisu kabla ya kumshambulia Charles Otieno, aliyefariki alipofikishwa hospitalini. Mwili wake umehamishiwa Hospitali ya Migori […]

WAKAZI WA SUNA MAGHARIBI WALALAMIKIA UVAMIZI WA NYANI

Wakazi wa God Kweru, Suna Magharibi, Kaunti ya Migori, wanakadiria hasara kutokana na uvamizi wa nyani katika mashamba yao, hali inayowakatisha tamaa. Kiongozi wa jamii, Timothy Odhiambo, amesema wakulima wengi wameacha kulima kwa hofu ya mazao yao kuharibiwa. Licha ya juhudi mbalimbali za kudhibiti tatizo hilo, hakuna suluhisho lililofanikiwa. Wakazi hao wameshawasilisha malalamiko yao kwa […]

IEBC KUANZA MAHOJIANO YA MWENYEKITI NA MAKAMISHNA LEO

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) inaanza mahojiano ya kujaza nafasi ya mwenyekiti na makamishna sita, mchakato wa siku 33 utakaoanza leo Jumatatu jijini Nairobi. Kamati ya uteuzi inayoongozwa na Dr. Nelson Makanda itaendesha mahojiano haya kwa awamu, ambapo wagombea 11 wa nafasi ya mwenyekiti watahojiwa kati ya Machi 24 na 26, kisha wagombea 105 wa makamishna kati […]