ATHARI ZA UKAME KWA UZALISHAJI WA CHAI, MAPATO YA TAIFA
Uzalishaji wa chai nchini Kenya umeshuka kwa asilimia 13.55 katika miezi miwili ya kwanza ya mwaka 2025, hali iliyochangiwa na ukame usio wa kawaida kulingana na Bodi ya Chai ya Kenya. Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi hiyo, Willy Mutai, amesema kwenye taarifa iliyotolewa jijini Nairobi kwamba uzalishaji kwa kipindi hicho ulikuwa kilo milioni 98.9, ikilinganishwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































