SERIKALI YASITISHA MKATABA WA BARABARA NA KAMPUNI YA KIFARANSA
Serikali ya Kenya imesitisha mkataba wa euro bilioni 1.3, sawa na takriban shilingi bilioni 190.8, uliokuwa umeafikiwa na muungano wa kampuni kutoka Ufaransa ukiongozwa na Vinci SA, kwa ajili ya upanuzi wa barabara ya kilomita 140 kutoka Nairobi hadi Nakuru. Mkataba huo ulisainiwa mwaka 2020 jijini Paris wakati wa ziara ya rais wa wakati huo […]
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































