LIVERPOOL WAKARIBIA KUTWAA TAJI LA EPL
Liverpool wako hatua chache kutwaa taji la Ligi Kuu ya Uingereza baada ya ushindi wa 2–1 dhidi ya West Ham, bao la ushindi likifungwa na Virgil van Dijk dakika za mwisho. Luis Diaz alifungua ukurasa kabla ya Andrew Robertson kujifunga, lakini Van Dijk akaamua matokeo kupitia kona ya Alexis Mac Allister. Liverpool sasa wanaongoza kwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































