JUHUDI ZA KULIPA MADENI YA NHIF

Mzozo baina ya hospitali na mamlaka ya SHA kuhusiana na madeni yanayodaiwa chini ya bima ya afya ya zamani NHIF unatarajiwa kupata suluhu kufuatia hatua ya wizara ya afya kuzindua kamati maalum itakayoendesha uchunguzi ili kuhakiki uhalali na kiwango cha madeni hayo kabla ya hatua madhubuti kuchukuliwa. Waziri wa afya Aden Duale, ametahadharisha kuwa kamati […]

MWAURA: MITANDAO YA KIJAMII INATUMIWA KUPANGA MAPINDUZI AFRIKA

Kufuatia video zinazozungumzia uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore wa Burkina Faso, msemaji wa serikali Isaac Mwaura anasema kuwa watu wenye nguvu wanatumia mitandao ya kijamii kupanga mapinduzi Afrika. Anasisitiza kuwa kuna operesheni inayohamasisha utawala wa kijeshi, ikiunga mkono mapinduzi na kukosoa viongozi wa kidemokrasia huku akionya kuwa mifumo hii inapaswa kuchukuliwa kwa uzito. Tangu Traore […]

KAMATI YA NHIF YAZINDULIWA KUCHUNGUZA MADENI

Ni afuueni kwa taasisi za afya ambazo zilitoa huduma za afya chini ya bima ya afya ya awali NHIF baada ya Wizara ya Afya kuzindua Kamati ya Uthibitishaji wa Madeni ya Matibabu ya NHIF iliyoanzishwa tarehe 30 Machi. Kamati hiyo inachunguza madeni ya NHIF yaliyobaki kutoka Julai 2022 hadi Septemba 2024 na kutoa mapendekezo kuhusu […]

LIVERPOOL YAPOTEZA 3-2 DHIDI YA FULHAM

Liverpool ilikubali kipigo cha pili msimu huu baada ya Fulham kushinda 3-2, huku Southampton ikishushwa daraja kwa kufungwa 3-1 na Tottenham. Sare ya 1-1 ya Arsenal na Everton ilifanya Liverpool kuhitaji pointi 11 ili kushinda taji la 20 la ligi kuu ya Uingereza. Baada ya Alexis Mac Allister kufunga, ulinzi mbovu uliruhusu Fulham kubadili matokeo […]

NAIROBI UNITED YASHINDA 6-2 DHIDI YA MOMBASA STARS

Nairobi United iliendelea na harakati za kutwaa ubingwa wa National Super League kwa kushinda Mombasa Stars 6-2 katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Dandora. Ushindi huo ulifanya Nairobi United kuongeza uongozi wao kileleni kwa pointi 52, tatu mbele ya APS Bomet. Mombasa Stars, wakiwa na pointi 19 pekee, walipata sare ya 2-2 baada ya kufungwa penati […]

POLISI FC YAPOTEZA FURSA YA KUIMARISHA UONGOZI KATIKA LIGI KUU YA KENYA

Polisi FC ilikosa fursa ya kuimarisha uongozi wake baada ya kutoka sare tasa dhidi ya Nairobi City Stars jana Jumapili katika Uwanja wa Kenyatta – Machakos. Matokeo hayo yaliacha Polisi kileleni na pointi 49, pointi moja mbele ya Tusker FC. Mechi kati ya Gor Mahia na KCB iliahirishwa kutokana na mvua kubwa. Gor Mahia ina […]

Optimizing Slot Play: How Cheeky Bingo Delivers Zero‑Lag Gaming for UK Players

Optimizing Slot Play: How Cheeky Bingo Delivers Zero‑Lag Gaming for UK Players Online slots should feel like a quick spin of a reel, but many players notice delays. Lag can turn an exciting win into a frustrating wait. Studies show that 42 % of UK players abandon a session if a game loads slower than three […]

BARCELONA KUMENYANA NA REAL MADRID

Barcelona itamenyana na wapinzani wao Real Madrid katika fainali ya Copa del Rey baada ya kuwalaza Atletico Madrid 1-0 kwenye Uwanja wa Metropolitano na kukamilisha ushindi wa jumla wa 5-4. Kufuatia msisimko wa mabao nane katika mkondo wa kwanza wa nusu fainali huko Barcelona, bao la Ferran Torres dakika ya 27 lilitosha kuipa timu hiyo […]

WACHEZAJI WAKONGWE KUREJEA KWA KAMBI YA ULINZI

Kocha mkuu wa Ulinzi Stars Danstun Nyaudo anasema timu hiyo iko tayari kwa mechi yao ya Ligi Kuu ya FKF (FKF-PL) dhidi ya Sofapaka FC Ijumaa, baada ya kurejea kwa wachezaji wakongwe. Wanajeshi hao walifungwa 2-1 na Bandari wikendi mjini Mombasa, na kocha Nyaudo anasema kurejea kwa wachezaji wanne muhimu ambao walikosa mechi hiyo kutaongeza […]

KOCHA WA TIGOI ERIMA ANA IMANI ATATETEA TAJI HILO

Kocha mkuu wa mchezo wa magongo wa Tigoi Girls, Moses Erima, ana imani kwamba watatetea taji lao la kitaifa katika Michezo ijayo ya Kitaifa ya Muhula wa Kwanza ya Chama cha Michezo cha Shule za Sekondari Kenya (KSSSA) inayopangwa Aprili 7-12 huko Shanzu TTC mjini Mombasa. Wababe hao wa eneo la Magharibi waliwashinda Misikhu Girls […]