MAGEUZI MAPYA SEKTA YA CHAI YAJADILIWA
Wakulima wa chai nchini huenda wakapata afueni kufuatia mikakati mipya ya mageuzi iliyoandaliwa na Wizara ya Kilimo huku Katibu wa wizara hiyo Kiprono Ronoh akikutana na wadau wa sekta ya chai kujadili namna ya kuongeza uzalishaji, kupanua masoko na kuboresha kipato cha mkulima. Wadau wamesisitiza umuhimu wa utafiti wa kina ili kuinua ubora wa chai […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































