MASHIRIKA YAKOSOA OMBI LA RAIS RUTO
Mashirika ya kijamii yamemkosoa Rais William Ruto kwa kusalia kimya wakati ambapo wakenya wamedhulumiwa, ikiwemo wakati wa maandamano na kufurushwa kwa wanaharakati kutoka nchini Tanzania. Katika kikao na wnahabari mjini Machakos, mashirika hayo chini ya mwavuli wa Okoa Uchumi yameelezea kutoridhinishwa na kimya hicho, yakisema ni ishara kwamba ombi la Rais kutaka asamehewe ni unafiki. […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































