MAKADIRIO YA IEBC
Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC imependekeza kutengewa shilingi bilioni 57 ili kufanikisha uchaguzi mkuu ujao na chaguzi nyingine ndogo katika maeneo mbali mbali nchini. Kulingana na mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa Gitonga Murugara, IEBC inapanga kutumia shilingi milioni 788 kati ya shilingi bilioni 9.6 za mwaka ujao […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































