POLISI KUSHIRIKIANA ZAIDI NA WANANCHI
Idara ya usalama nchini itashirikiana zaidi na jamii katika kuimarisha usalama na kukomesha uhalifu. Ni usemi wake inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja kwenye mkutano na wakuu wa usalama nchini akisema kuwa ushirikiano huo utasaidia kuzuia visa vya uhalifu. Kanja amewataka polisi kuimarisha mawasiliano na wananchi. Imetayarishwa na Maureen Makhobe
English 

















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































