SITA WAKABILIWA NA KESI MAUAJI YA OJWANG
Washukiwa 6 akiwemo OCS wa kituo cha polisi cha Central jijini Nairobi Samson Taalam watarejeshwa mahakamani hii leo kufunguliwa rasmi kesi ya mauaji ya mwalimu na bloga Albert Ojwang aliyeuawa katika kituo hicho. Hii ni baada ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma DPP Renson Ingonga kuidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi yao, mamlaka ya kuchunguza mienendo […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































