WABUNGE KUJADILI MAREKEBISHO YA SHERIA YA MAANDAMANO
Wabunge wameratibiwa kujadili na kupigia kura pendekezo la marekebisho ya sheria inayohusu maandamano linalolenga kuzuia uvamizi na taasisi nyingine za serikali wakati wa maandamano nchini. Mswada huo uliopendekezwa na mwakilishi wa kike wa kaunti ya Nairobi Esther Passaris mbele ya kamati ya usalama na utawala, tayari umeanza kupata uungwaji mkono wa wabunge. Miongoni mwa mapendekezo […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































