ASATI ANA IMNAI WATAWALAMBISHA KIVUMBI UGANDA
Nyota wa KCB RFC, Samuel Asati ana uhakika Simbas ya Kenya itawaangusha wapinzani wao Uganda katika mechi yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la Raga ya 2027 itakayoandaliwa wiki ijayo. Timu hiyo ilisifu kambi ya hivi majuzi ya mazoezi ya kikosi hicho yenye ufanisi wa hali ya juu nchini Afrika Kusini, ambapo walishiriki katika […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































