WASHUKIWA 2 WAPIGWA RISASI MATHARE
Washukiwa 2 wa wizi wa kimabavu walipigwa risasi na polisi katika mtaa wa Mathare hapa Nairobi. Polisi wanasema wawili hao walitumia vurugu zilizotokea kwenye barabara ya Outer ring kuwapora watu waliokuwa wakitembea kwa miguu kwenye barabara ya Juja. Vifaa mbali mbali vya wizi vilipatikana kutoka kwa washukiwa hao huku mmoja akifanikiwa kutoroka. Imetayarishwa na Maureen […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































