MCF FC YAIBWAGA MOMBASA UNITED 3-0 KATIKA MECHI YA NSL
MCF FC iliifunga Mombasa United mabao 3-0 katika mechi ya Ligi ya Kitaifa Daraja la Pili (NSL) kwenye Uwanja wa Serani, Mombasa. Mabao ya MCF yalifungwa na James Olweny, John Okoth, na John Ochieng. Olweny alifunga bao la kwanza dakika ya 30 baada ya pasi safi kutoka kwa Ezekiel Okare. Okoth aliongeza la pili dakika […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































