MACHIFU WATANO WATEKWA NYARA NA AL-SHABAAB MANDERA
Machifu watano wa serikali wametekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab katika kaunti ya Mandera. Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Mashariki, John Otieno, amesema kuwa machifu hao walikuwa wakielekea Elwak walipotekwa kati ya Bamba Owla na Ires Suki. Kwa mujibu wa mkuu wa polisi wa eneo hilo, timu ya usalama ya pamoja imepelekwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































