The Advantages of Utilizing an Online Recruiting Platform

On-line recruiting systems have actually reinvented the means companies locate and employ talent. These platforms give a central area for employers to publish work listings, display prospects, and manage the working with procedure successfully. In this write-up, we will certainly check out the various advantages of making use of an on the internet

Free Blackjack Method: Boost Your Abilities and Win Big

Blackjack is among the most prominent online casino video games in the world. With its simple policies and busy action, it supplies players the opportunity to check their abilities and win big. Nonetheless, grasping the game requires technique and method. The good news is, there are many means to practice blackjack completely free and hone […]

WAWEKEZAJI WA CHINA WAVUTIWA NA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA MBALI MBALI KENYA  

Kundi la wawekezaji kutoka China liko nchini Kenya kutafiti fursa za uwekezaji katika sekta za miundombinu na kilimo nchini. Mwanzilishi na mwenyekiti wa kundi la ushawishi wa biashara la China, Fortune Generation, Martin Hang amesema wawekezaji wa China wanachukua nafasi muhimu katika kuboresha miundombinu na katika sekta ya usalama wa chakula nchini Kenya. Hang aidha amesema wawekezaji […]

LUSAKA AUNGA MKONO NDOTO YA RUTO YA KENYA KAMA SINGAPORE

Gavana wa Bungoma, Ken Lusaka, amemtetea Rais William Ruto na mpango wake wa kuinua Kenya hadi hali ya kiuchumi kama Singapore, akisema mpango huo unawezekana iwapo kutafanyika utekelezaji sahihi wa hatua. Akizungumza katika mahojiano maalum na kituo kimoja cha runinga humu nchini, Lusaka alisisitiza mikakati muhimu na maeneo yaliyopangwa na serikali akibainisha kuwa hatua hizi ni muhimu kubwa kwa […]

WANAFUNZI WA GRADE 10 KUANZA MASOMO WIKI IJAYO

Wanafunzi wa gredi ya kumi wanatarajiwa kuanza rasmi masomo yao wiki ijayo, kufuatia kusambazwa kwa vitabu vya shule za sekondari ya juu kote nchini. Taasisi ya Mtaala Nchini (KICD) pamoja na Wizara ya Elimu zimesema kuwa wachapishaji tayari wamechapisha vitabu na kusambaza asilimia 50 ya vifaa vya masomo. Hii hatua inahakikisha kuwa wanafunzi wanakuwa tayari […]

ARSENAL KUMENYANA NA MAN UNITED EPL

Ligi Kuu ya Uingereza inaendelea kesho na mechi kadhaa kuchezwa katika viwanja mbalimbali. Mechi ya mapema itashuhudia West Ham wakikabiliana na Sunderland, huku baadaye Man City wakicheza na Wolves, Tottenham wakipambana Burnley kwenye uwanja Turf Moor, Fulham watakuwa wenyeji wa Brighton, huku Liverpool wakiwa wageni wa Bournemouth kwenye Vitality Stadium. Jumapili mechi nyingine zitachezwa ikiwa ni Crystal Palace wapambane na  Chelsea, Newcastle wavaane na Aston Villa kwenye uwanja wa  St. […]

CASEMIRO KUONDOKA MANCHESTER UNITED MWISHONI MWA MSIMU

Klabu ya Manchester United imetangaza kuwa Casemiro ataondoka klabuni mwishoni mwa msimu kufuatia mkataba wake kumalizika. Nahodha huyo wa Timu ya Taifa ya Brazil alijiunga na United kutoka Real Madrid mwaka 2022 na hadi sasa amecheza mechi 146, na kufunga mabao 21 pamoja na kushinda Taji la FA na Carabao. Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

LIGI KUU YA KENYA KUENDELEA KESHO

Ligi Kuu ya Kenya inarejelewa hapo kesho na mechi kadhaa kuchezwa. APS Bomet itakuwa mwenyeji wa Shabana, huku Kariobangi Sharks wakiwa wageni wa Bandari mechi hizo mbili zikisakatwa saa nane Baadae saa kumi Bidco United watakuwa wenyeji wa viongozi wa ligi, Gor Mahia. Jumapili kutakua na michezo kadhaa  pamoja na KCB kucheza nyumbani dhidi ya Tusker, Ulinzi Stars kuwa wenyeji wa Muranga […]

BANDARI FC YAZINDUA TENA NDOTO ZA UBINGWA WA KPL

Msaidizi wa kocha wa Bandari , Razak Siwa, anaamini kuwa The Dockers wameanzisha tena ndoto zao za ubingwa wa Ligi Kuu ya Kenya kufuatia ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Tusker FC mwishoni mwa wiki iliyopita. Kikosi cha Mombasa kipo nafasi ya kumi kwenye jedwali la KPL, likikusanya alama 23 kutokana na mechi 16, ikiwa pointi 10 nyuma ya […]