AMBANI ASONYA TATIZO LA KUTUMIA NAFASI LICHA YA INGWEKUREJEA KILELENI

AFC Leopards wamerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu yaSportPesa wakiwa na pointi sawa na wapinzani wao wakuu GorMahia, lakini kocha Fred Ambani amesema bado kuna changamotozinazohitaji kushughulikiwa.Akizungumza baada ya ushindi mwembamba wa mabao 1-0 dhidi yaSofapaka uliochezwa Jumapili katika Uwanja wa Moi Kasarani,Ambani alibainisha kuwa tatizo kubwa linaloikabili timu yake nikushindwa kutumia nafasi wanazotengeneza.Ingwe […]

HAZINA KUFADHILI 82% YA NAKISI YA BAJETI MKOPO UKIBANA

Katika hatua ya kudhibiti gharama za ukopaji na kupunguza udhaifu wa deni unaoongezeka, hazina ya kitaifa inatazamiwa kuegemea soko la deni la ndani kama chanzo kikuu cha ufadhili wa nakisi ya bajeti ya nchi katika muda wa kati. Hazina hiyo kupitia usimamizi wake imehoji kuwa kuweka kipaumbele kwa ukopaji wa ndani kunatoa uwiano endelevu zaidi kati ya […]

Gambling and Casino Games: Important Issues for Online Poker Players and Gambling Sites Casinos, also referred to as virtual casinos or virtual online casinos, are virtual versions of real casinos online. Internet casinos allow gamblers to play casino games online from the comfort of their homes. It’s a profitable way to bet online. If you […]

DORGU NJE KWA WIKI 10 KUFUATIA JERAHA LA MSULI

Mchezaji wa Manchester United Patrick Dorgu, ameratibiwa kukaa nje kwa wiki kadhaa kufuatia jeraha la msuli yaani hamstring alilopata kwenye ushindi wao wa mabao 3-2 dhidi ya Arsenal Jumapili iliyopita. Wing’a huyo mwenye umri wa miaka 21 aliyefunga bao la pili la United, aliondoka uwanjani akichechemea katika dakika za mwisho za mechi hiyo, kocha mshikilizi […]

TUSKER FC BADO WANAWANIA KPL, OKERE

Kocha mkuu wa klabu ya Tusker FC Charles Okere amekariri kuwa kikosi chake kitaendelea kutoa ushindani kwa lengo la kuwania taji la ligi kuu ya soka nchini, KPL, licha ya kuwa katika nafasi ya 7 kwenye jedwali la ligi hiyo. Tusker FC wana pointi 27, 9 nyuma ya viongozi Gor Mahi ana AFC Leopards. Mara […]

MAAFISA WA CAF KUKAGUA VIWANJA KENYA

Serikali imefichua mipango ya kuwaalika maafisa wakuu wa shirikisho la soka barani Afrika, CAF, kukagua na kutathmini hali ya viwanja nchini katika maandalizi ya Kenya kuwa mwenyeji wa dimba la mataifa bingwa barani Afrika, AFCON. Waziri wa michezo Salim Mvurya, amesema serikali imefurahishwa na hali ua ujenxi unaoendelea katika uwanja wa Raila Odinga International Stadium, […]

WATOTO, 15, UFARANSA WAZUIWA MITANDAONI

Wabunge nchini Ufaransa wamepitisha mswada ambao huenda ukapiga marufuku Watoto walio chini ya umri wa miaka 15 kutumia mitandao ya kijamii, hatua ambayo imeungwa mkono pakubwa na Rais Emmanuel Macron kama njia ya kuwalinda Watoto dhidi ya matumizi kupita kiasi ya sim una vifaa nyingine vya kielektroniki. Mswada huo ulipitishwa na bunge la kitaifa ambalo […]

“MAUAJI YA WANAWAKE YAWE JANGA LA KITAIFA”

Asilimia 34 ya wanawake nchini wamewahi kupitia ukatili kuanzia wakiwa umri wa miaka 15, serikali sasa ikitakiwa kutangaza mauaji dhidi ya wanawake kuwa janga la kitaifa. Wakizungumza wakati wa kuwasilisha ripoti kuhusu dhuluma za kijinsia nchini, wanachama wa kamati maalum iliyobuniwa kuchunguza visa vya ukatili wa kijinsia ikiongozwa na aliyekuwa naibu Jaji Mkuu Nancy Barasa, […]

WINNIE ODINGA: VIONGOZI WANATISHWA

Mwanawe kinara mwanzilishi wa chama cha ODM marehemu Raila Odinga, Winnie Odinga, amekosoa jinsi mabadiliko ya uongozi wa chama hicho yalitekelezwa baada ya kifo cha Odinga, akiwashtumu baadhi ya viongozi kwa madai ya kuwatenga wanachama walio na mtazamo kinzani, mbali na ukiukaji wa katiba ya chama. Kwenye mahojiano na kituo kimoja cha runinga usiku wa […]

VIKWAZO KWA IEBC KUBUNI MAENEO MAPYA

Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC haitafanikiwa kuangazia upya mipaka ya maeneo bunge na wadi kabla ya uchaguzi mkuu ujao, na badala yake itafanya zoezi hilo kwa awamu kutokana na changamoto za kikatiba, kiutendaji na kisheria. Kwenye kikao na wanahabari, mwenyekiti wa tume hiyo Erastus Ethekon, amesema vikwazo hivyo vimesababishwa na sababu kadhaa ikiwemo […]