WABUNGE WAJIANDAE ‘KUANGUKA’- WETANG’ULA
Asilimia 56 ya wabunge ambayo ni sawa na zaidi ya nusu yao, hawatachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu ujao na pana haja kwao kuweka kipaumbele kwa ufadhili wa penisheni ili kujiepushia mahangaiko ya uzeeni. Haya ni kwa mujibu wa spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula, kwenye kikao cha uongozi na wabunge hao mjini Naivasha, akisema wengi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































