MKUFUNZI WA TUSKER AKIRI HANA UWEZO KUIPIKU GOR KPL
Kocha mkuu wa klabu ya Tusker Julien Mette, amekiri kwamba timu hiyo haitashinda taji la ligi kuu ya kandanda nchini, KPL, msimu huu, akisema hamna nafasi za kuipiku viongozi Gor Mahia. Tusker mara ya mwisho walishinda taji hilo mwaka wa 2016, na licha ya kutarajiwa kutamatisha kiu cha mwongo mmoja, Mette amesema lengo lao msimu […]
English 








































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































