OSAMA AHAMIA KLABU YA SWEDEN
Winga chipukizi wa Kenya, Paul Osama, amepiga hatua kubwa katika taaluma yake ya soka baada ya kujiunga na klabu ya Enköpings nchini Sweden akitokea Murang’a Seal. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 alijiunga na Murang’a Seal mwanzoni mwa msimu wa 2025/2026 akitokea Mombasa United na kujidhihirisha haraka kama mchezaji muhimu, akifunga mabao matatu muhimu. […]
English 








































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































