USIKU MUHIMU KWA KLABU ZA UEFA
Mechi ya 7 kati ya 8 ya awamu ya kwanza ya ligi ya klabu bingwa barani Ulaya, UEFA, zitachezwa usiku wa leo ambapo timu kadhaa ikiwemo Liverpool, Real Madrid na Inter Milan zitalenga kupata ushindi ili kujihakikishia kufuzu moja kwa moja katika awamu ya 16 bora kutokana na kudidimia kwa matumaini ya kupata mataji ya […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































