Betting Sites in Zambia: A Comprehensive Guide

With the rise of online betting, Zambia has seen a growing number of betting sites catering to the needs of both new and experienced players. In this article, we will take a closer look at the top betting sites in Zambia, their features, pros and cons, and tips to enhance your betting experience. Top Betting […]

RUKU: GACHAGUA ANAENDESHA SIASA DUNI

Baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza wamemtaka aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua kuunga mkono ajenda ya serikali hiyo na kukomesha walichokitaja kuwa siasa duni. Viongozi hao akiwemo Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku, wamepuzilia mbali madai ya Gachagua kwamba eneo la Mlima Kenya limetengwa kimaendeleo na serikali ya Rais William Ruto. Imetayarishwa na Antony […]

WANAWE ODINGA WAINGILIA MGOGORO ODM

Mgogoro kuhusu uongozi wa ODM umechukua mkondo tofauti, wanawe kinara mwanzilishi wa chama hicho Raila Odinga, Winnie Odinga na Raila Odinga Junior wakiingilia mgogoro huo na kuwatuhumu baadhi ya viongozi kwa kulenga kuwahangaisha viongozi wachanga chamani. Wakizungumza kwenye mkutano wa hadhara, wawili hao wameshinikiza kuandaliwa kwa kongamano la kitaifa, NDC, kabla ya mazungumzo ya ushirikiano […]

KITENGO CHA KUKABILI MADAKTARI BANDIA KUBUNIWA

Serikali imeimarisha juhudi za kulinda usalama wa wakenya kiafya, baada ya kuagiza kubuniwa kwa kikosi maalum cha kukabiliana na madaktari bandia kufuatia kifo cha mkenya mmoja kutokana na kung’olewa jino na daktari bandia. Akitoa agizo hilo, Waziri wa afya Aden Duale ametoa onyo dhidi ya watakaopatikana wakiendesha kliniki bila leseni ama kusajiliwa na na bodi […]

WAKO WAPI WANAFUNZI WA GRADE 10?

Hofu imeibuka kuhusu maelfu ya wanafunzi wa gredi ya 10 ambao hadi sasa hawajaripoti shuleni kwa muhula wa kwanza, serikali ikiagiza ukaguzi kufanywa ili kubaini sababu. Kulingana na serikali, ni asilimia 60 pekee ya wanafunzi hao walioripoti, sasa kampeni ya nyumba hadi nyumba ikihimizwa ili kuhakikisha asilimia 100 ya mpito. Muda wa kuwasajili wanafunzi hao […]

ODM YAZINDUA ZIARA ZA KAUNTI

Chama cha ODM, kimetangaza kuanza kwa ziara zake za kaunti chini ya kaulimbiu ya Linda Ground, zitakazoanza Jumamosi, Januari 17, 2026. Tangazo hilo lilitolewa kupitia bango rasmi la chama, likieleza ratiba na maeneo ya ziara hiyo huku Kituo cha kwanza cha ziara hiyo kikiwa Malaba, Kaunti ya Busia, tarehe 17 Januari, kabla ya kufuatiwa na kituo cha […]

MUSEVENI AONGOZA MATOKEO YA AWALI UGANDA

Rais mkongwe wa Uganda, Yoweri Museveni, ameongoza kwa mbali katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais, huku kukiwa na taarifa kinzani kuhusu visa vya vurugu vilivyoripotiwa baada ya kura kupigwa. Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi, Museveni ana asilimia 76.25 ya kura kulingana na kura zilizohesabiwa kutoka karibu nusu ya vituo vya […]

OMTATAH APINGA UFADHILI WA SHIF

Seneta wa Kaunti ya Busia, Okiya Omtatah, ameiambia Mahakama Kuu kuwa huduma ya afya kwa wote inapaswa kufadhiliwa moja kwa moja kupitia kodi, akisisitiza kuwa ni wajibu wa kikatiba wa serikali kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya bila kutozwa ada au michango ya ziada Omtatah anadai kuwa Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii, SHIF, […]

TUKIO LA POLISI LAZUA HASIRA NANDI HILLS

Wakenya wameonyesha hasira zao baada ya klipu ya CCTV iliyosambaa mitandaoni kuonyesha maafisa wa polisi wenye silaha wakiwashambulia vijana waliokuwa wakicheza pool katika mji wa Nandi Hills, huku viongozi sasa wakitaka hatua za haraka zichukuliwe dhidi ya waliohusika. Seneta wa Nandi, Samson Cherargei, pamoja na Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, wamelaani vikali kitendo hicho walichokitaja […]

KENYA YATARAJIA UKUAJI WA MAUZO YA NJE BAADA YA MAKUBALIANO YA KIBIASHARA NA CHINA

Serikali kuu imesema inatarajia ukuaji wa mauzo ya nje baada ya China kutoa asilimia 98.2 ya soko la ushuru sifuri kwa bidhaa kutoka nchi hiyo chini ya makubaliano ya kufuta ushuru yaliyotangazwa hivi karibuni. Waziri wa uwekezaji, biashara, na viwanda Lee Kinyanjui amesema hatua hiyo muhimu inafuatia makubaliano kati ya nchi hizo mbili baada ya China […]