POLICE FC, GOR WASAKA POINTI KPL
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka, KPL, Police FC, watalenga kuimarisha kampeni yao ya kutetea taji hilo watakapoialika Mara Sugar ugani Police Sacco hii leo. Kocha mkuu wa Maafande hao Dusan Stojanovic amekairiri kuwa kikosi chake kiko tayari kusistisha msururu wa matokeo duni uwanjani, akisema lengo lao ni kushinda kila mechi. Police walio katika […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































