WAHUSIKA WA MAUAJI YA ALIYEKUWA MBUNGE GEORGE THUO KUHUKUMIWA LEO

Watu sita waliopatikana na hatia ya mauaji ya aliyekuwa Mbunge wa Juja George Thuo watahukumiwa hii leo. Sita hao Paul Wainaina Boiyo almaarufu Sheki, Christopher Lumbazio Andika maarufu Lumba, Andrew Karanja Wainaina, Samuel Kuria Ngungi almaarufu Visi, Esther Ndinda Mulinge, na Ruth Watahi Irungu almaarufu Atlanta. Mahakama kuu ya Milimani mnamo Aprili mwaka huu ilitoa […]

TUSULUHISHE KESI NDOGO NDOGO NJE YA MAHAKAMA

Wakaazi Kaunti ya Homa Bay wamehimizwa kukumbatia njia mbadala katika kusuluhisha kesi mbali mbali ili kupunguza mrundiko wa kesi mahakamani na kuharakisha waliokosewa kupata haki. Jaji wa mahakama kuu ya Homabay Kiarie Waweru amesema kuwa kuna baadhi ya kesi ambazo zinaweza kusuyluhishwa nje ya mahakama na kuwataka wakaazi kuwahusisha maafiosa wa idara ya mahakama wanapofanya […]

SPAIN WAJIKATIA TIKITI KWA 16 BORA

Uhispania ilifuzu kwa hatua ya 16 bora ya Euro 2024  hapo jana usiku baada ya kuifunga Italia 1-0 katika mchezo mkali uliohakikisha kwamba La Roja ingefuzu kama washindi wa Kundi B. Bao la kujifunga la Riccardo mnamo  dakika tisa baada ya muda wa mapumziko lilihakikishia uhisipania ushindi huo. Timu ya Luis de la Fuente ina […]

KENYA YAANDIKISHA MATOKEO MCHANGANYIKO

Wachezaji wa Kenya wa voliboli ya ufukweni ya wanawake (beach volleyball)  Gaudencia Makokha na Naomie Too walianza kufuzu kwa Kombe la Bara la FIVB la Volley Coast pamoja na kufuzu kwa Olimpiki wakiwapita Gambia Isatou Secka na Ginadou Mariama 2-0 katika Ufukwe wa Kabila huko , Morocco. Washindi wa medali za fedha za Kombe la […]

INSPEKTA KOOME NDIYE MHUSIKA MKUU; BABU OWINO

Inspekta mkuu wa polisi Japheth Koome anapaswa kuwajibishwa kuwajibishwa kufuatia kifo cha mmoja wa waandamanaji. Haya ni kwa mujibu wa mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino ambaye ameongeza kuwa koome anahusika kwa njia moja au nyingine kwa kifo cha Kanyika Masai anayeaminika kupigwa risasi na afisa wa polisi  kwa kuwa alitoa maagizo mbali mbali kwa […]

WAHALIFU WAKULIMA

Utunzaji wa wanyamapori umewawezesha Vijana waliokuwa wanajihusisha na wizi wa mifugo katika kaunti ya Pokot Magharibu kujihusisha katika kilimo cha maembe na ufugaji wa nyuki baada ya vijana hao kuacha wizi. Kwa mujibu wa msimamizui wa NRT Tom Lalapaa mpango wa ustahimilivu unaoendezwa na wakfu wa utunzaji wa wanyamapori umebadilisha Maisha ya vijana wengi katika […]

ADAK YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MADAWA

Zaidi ya wanariadha 100 kutoka kwa timu  ya KCB walipitia mafunzo ya kukabiliana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli kutoka Shirika la Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kulevya nchini (ADAK) katika Klabu ya Michezo ya KCB, Ruaraka hapoa jana. Wanariadha hao, waliotoka katika taaluma tofauti – raga, mpira wa miguu, chess, na voliboli […]

HARAMBEE STARS WASHUKA KWA ORODHA YA FIFA

Timu ya taifa ya wanaume ya Kenya, Harambee Stars, imeporomoka nafasi moja katika viwango vya hivi karibuni vya FIFA vilivyotolewa hapo jana , kutoka nafasi ya 110 hadi ya 111 (pointi 1181.92) duniani. Kutofuzu kwa Kenya katika Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2023 kunaweza kuchukuliwa kama sababu kuu ya kuporomoka huko, kwani harakati za […]

NATEMBEYA: TENGA PESA ZAIDI KWA KAUNTI ILI KUPAMBANA NA UMASKINI

Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya ameitaka serikali ya kitaifa kusambaza rasilimali zote zinazokusudiwa kwa kaunti ili ugatuzi ufanikiwe zaidi na vile vile kukuza ukuaji wa uchumi. Kwa mujibu wa Natembeya ni kupitia ugatuzi kamili na mwafaka wa rasilimali ambapo Kenya itaondoa umaskini, magonjwa na kutojua kusoma na kuandika miongoni mwa changamoto nyingine za kiuchumi. Imetayarishwa na […]

MAUZO YA KENYA KWA MATAIFA MENGINE YAONGEZEKA; CBK YASEMA

Benki kuu ya Kenya CBK katika ripoti ya kiuchumi imesema mauzo ya taifa hili kwa nchi nyingine za Afrika yameongezeka kwa asilimia 16.5 ambayo ni sawa na shilingi bilioni 113.1 katika robo ya kwanza ya mwaka 2024 kutoka dola milioni 749 ya mwaka 2023 kipindi sawa na hicho. Kulingana na CBK mafanikio hayo yametokana na […]