HUENDA MAPATO YA KENYA YAKAELEKEZWA KWA MIKOPO, RIPOTI
Kenya ni miongoni mwa nchi 23 zinazotarajiwa kutoa zaidi ya asilimia 20 ya mapato yao kwa malipo ya deni la nje huku suala hilo likiendelea kusumbua utawala wa Rais William Ruto. Ripoti ya hivi punde ya Debt Justice, mshirika wa shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake makuu nchini Uingereza, Christian Aid inaonyesha Kenya itatumia […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































