HATIMA YA JOPO LA KUKAGUA DENI LA TAIFA KUJULIKANA SEPTEMBA

Jopo lililoteuliwa na rais William Ruto kukagua deni la taifa litaendelea kusubiri kwa muda zaidi kabla ya kuanza rasmi majukumu yao baada ya kesi iliyowasilishwa mahakamani na dkt. Benjamin Magare na Eliud Matindo kuwazuia kutekeleza majuukumu yao kusongezwa hadi tarehe 18 mwezi wa Septemba mwaka huu. Imetayarishwa na Janice Marete

HATUEGEMEI UPANDE WOWOTE

Rais Thomas Bach Amesisitiza Kwamba Kamati Ya Kimataifa Ya Olimpiki Haiegemei Upande Wowote Baada Ya Wito Wa Wapalestina Wa Kuitaka Israel Kuzuiwa Kushiriki Michezo Ya Paris Kutokana Na Vita Vya Gaza. Wakati Timu Ya Israel Ikikaa Katika Kijiji Cha Wanariadha, IOC Ilichunguza Barua Kutoka Kwa Kamati Ya Olimpiki Ya Palestina Ikimtaka Bach Kuwapiga Marufuku Waisraeli, […]

AK YAFUNGUA OFISI ELDORET

Shirikisho La Riadha Nchini AK Limefungua Rasmi Ofisi Zake Katika Mji Wa Eldoret Ili Kuhakikisha Kuwa Huduma Zinawafikia Wanariadha Wengi Ambao Huishi Na Kufanya Mazoezi Katika Kaunti Za Kaskazini Mwa Bonde La Ufa. Wakiongozwa Na Rais Wa Shirikisho Hilo Jackson Tuwei Na Mwenyekiti Wa AK Tawi La Nairobi Barnabas Korir, Viongozi Hao Wameisifia Hatua Hiyo […]

NITALETA MEDALI NYUMBANI

Zeddy Cherotich Amekiri Kwamba Yuko Chini Ya Shinikizo La Kutwaa Medali Ya Kwanza Ya Kenya Katika Mchezo Wa Judo, Kitengo Cha Wanawake Katika Michezo Ya Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa. Mwana Judo Huyo Wa Kikosi Cha KDF, Ambaye Pia Alishiriki Mashindano Ya Dunia Huko Abu Dhabi Kabla Ya Kufuzu Kwa Michezo Ya Olimpiki, Alitua Jijini Miramas […]

SIMBAS YATAJA KIKOSI CHAKE

Kocha Mkuu Wa Simbas Ya Kenya Jerome Paarwater Ametaja Kikosi Ambacho Hakijabadilika Kumenyana Na Algeria Katika Mchezo Wa Nusu Fainali Ya Kombe La Raga La Afrika Utakaochezwa Leo Alasiri Kwenye Uwanja Wa Taifa Wa Mandela Nchini Uganda. Timu Hiyo Ya Taifa Ya Raga Ya Wachezaji 15 Ambayo Ilianza Michuano Hiyo Kwa Ushindi Wa 36-17 Dhidi […]

NINA BAHATI MTONDO ASEMA ATUKA

Nahodha Wa Malkia Strikers, Trizah Atuka Anasema Ana Furaha Na Bahati Kuchaguliwa Kama Mpeperushaji Bendera Wa Kenya Katika Hafla Ya Kipekee Ya Ufunguzi Wa Michezo Ya 33 Ya Olimpiki Itakayoandaliwa Ijumaa Huko Mto Reine Jijini Paris, Ufaransa. Atuka Alichaguliwa Kama Mshika Bendera Wa Kenya Na Kamati Ya Kitaifa Ya Olimpiki NOCK Na Odi Ya Kusimamia […]

KENYA YASHUKA DIMBANI NA ARGETINA

Kinyang’anyiro Cha Cha Kuwania Taji La Mchezo Wa Raga Ya Wachezaji Saba Saba Katika Olimpiki Ya 2024 Kinaanza Leo Huku Mabingwa Wa Afrika Kenya Wakikabiliana Na Mshindi Wa Pili Wa HSBC Sevens Na Mabingwa Wa Mfululizo Wa Raga Ya Dunia Argentina Katika Mechi Yao Ya Ufunguzi Ya Kundi “B” Katika Uwanja Wa Stade De France […]

WANANDOA WAZEE WAUAWA KATIKA KISA CHA MOTO LARI, LIMURU

Polisi wanachunguza kisa ambapo wanandoa wazee waliuawa kwenye kisa cha moto eneo la Lari, Limuru, Kaunti ya Kiambu. Miili ya Peter Kimani Kuria mwenye umri wa 75 na mkewe Miriam Muthoni 65, ilipatikana muda mrefu baada ya nyumba yao ya vyumba vitatu kuezekwa. Wenyeji katika kijiji cha Lare wameripoti kuwa kulikuwa na moto katika nyumba […]

MSHUKIWA MWIZI AKAMATWA NYERI AKIWA NA FUVU LA KICHWA CHA BINADAMU

Mwanamume mmoja amekamatwa katika eneo la Classic karibu na mji wa Nyeri, Kaunti ya Nyeri akiwa amebeba fuvu la kichwa cha binadamu. Polisi wanasema wananchi walimkamata Joseph Maina kwa tuhuma kwamba alijaribu kuiba kutoka kwa makazi ya karibu viungani mwa mji wa Nyeri.Msako ulifanyika na kuoza sehemu za mwili wa binadamu za Mwafrika asiyejulikana wa […]

MULILI AIGURA  INGWE

Kipa Wa AFC Leopards Maxwell Mulili Ametangaza Kuachana Na Klabu Hiyo Baada Ya Miaka Mitano, Huku Ikiwa Mwaka Mmoja Kati Yake Alikuwa Kwa Mkopo Katika Klabu Ya Zoo FC Yenye Makao Yake Kericho. Amekuwa Mwanachini Wa Levis Opiyo Kwa Miaka Michache Iliyopita Na Katika Hatua Inayoaminika Kulenga Kupata Muda Zaidi Wa Kucheza Kwengineko, Mwanafunzi Huyo […]