MASENETA WAPANGA KUFUTILIA MBALI NYADHIFA ZA CAS, NA KUPUNGUZA IDADI YA PS
Nafasi za makatibu waandamizi CAS zimepangwa kutupiliwa mbali na idadi ya makatibuu wakuu PS kupunguzwa katika juhudi za kupunguza gharama ya uendeshaji wa serikali. Seneti inalenga kuwasilisha hoja ya kuunganisha mashirika na taasisi za serikali ili kupunguza idadi ya wafanyikazi. Imetayarishwa na Janice Marete
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































