TETESI ZA UHAMISHO- SOKA ULAYA MSIMU HUU WA JOTO
Kwenye tetesi za uhamisho ulaya msimu huu wa joto ni kwamba, kiungo wa kati wa uingereza na Lille Angel Gomes,24, anatazamiwa kujiunga na Newcastle united ila Liverpool, Tottenham na Borussia Dortmund pia wanafanya juhudi kuhakikisha wanamnyakua mchezaji huyo. Hii ina maana kuwa gomes, atakuwa na kibarua kikubwa cha kuchagua timu bora inayowiana na mbinu yake […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































