SOSSION AITAKA WIZARA YA ELIMU KUKAGUA MAJENGO SHULENI

Wito umetolewa kwa wizara ya elimu kuanzisha mchakato wa kukagua majengo shuilni kuhakikisha usalama wa wanafunzi. Aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha kitaifa cha walimu KNUT Wilson Sossion anasema kuwa visa vya moto shuleni vinsaendelea kuzua hofu miongoni mwa wasomi na wakenya kwa ujumla iwapo wizara ya elimu haitaweka mikakati ya kukagua majengo shuleni. Sosion […]

FAMILIA ZA MITAANI ZAONGEZEKA MJINI MOMBASA

Ni afueni kwa wakaazi wa kaunti ya Mombasa ambao wamekuwa wakiangaishwa na familia za mitaani na kusababisha ghasia katika mji wa pwani baada ya serikali ya kaunti kuanzisha msako wa familia hizo ambazo zimazidi kuongezeka katika mitaa yote mikuu katikati mwa jiji huku wengine wao wakikdaiwa kuwaibia wakaazi. Abdala Daleno afisa anayesimamia utawala amewahakikishia wakazi […]

ENZO MARESCA ADOKEZA MATUMAINI YAKE KUWA SANCHO ATASAIDIA CHELSEA KUTWAA MATAJI

Kocha wa timu ya chelsea Enzo Maresca anaamini ya kuwa kiungo mshambulizi Jadon Sancho ana uwezo wa kusaidia timu ya Chelsea kutwaa mataji mengi msimu huu. Enzo ana matumaini na mchezaji huyo ambaye alitokea klabu ya Manchester United, vile vile ameongeza kuwa Sancho tayari amedhihirisha kupitia mazoezi kuwa ataingiana na mbinu yao ya uchezaji. Winga […]

TIMU YA SHABANA WAMEBORESHA MUUNDO WA BASI LAO BAADA YA MALALAMIKO KWA WACHEZAJI

Klabu ya soka ya ligi kuu nchini FKL-PL, Shabana fc, wameboresha muundo wa basi lao huku wiki ya pili ya mechi ya ligi msimu huu zikitarajiwa kuendelea. Kupitia ukurasa wao wa x, maarufu twitter, Shabana FCwaliamua kufanyia basi la timu mabadiliko ili kuwapa wachezaji starehe wanaposafiri kote nchini kwa ajili ya mechi za FKF. Haya […]

WAZIRI WA MICHEZO MURKOMEN NA RAIS WA CAF MOTSEPE WAMEZURU NYAYO NA TALANTA KUKAGUA UKARABATI

Waziri wa michezo Kipchumba Murkomen pamoja na rais wa CAF Patrice Motsepe, wamezuru nyuga za Nyayo na talanta kukagua ukarabati unaeondelea kwa matayarisho ya mchuano wa chan na AFCON. Miongoni mwa viwanja vinanyokarabatiwa ni pamoja na Moi international sports complex, Nyayo na talanta sports city iliyoko jijini Nairobi. Kenya, uganda na tanzania ziliteuliwa na CAF […]

AL ALHY WAIADHIBU GOR MAHIA MABAO 3-0

Miamba wa soka kule misri, Al Ahly, waliwacharaza vigogo wa kandanda humu nchini Gor Mahia mabao 3-0 katika uga wa Nyayo jumapili jioni. Al Ahly sasa imefufua matumaini yao ya kutinga awamu ya muondoano kwenye dimba la klabu bingwa barani africa. Wao ndio mabingwa watetezi, na wamenyakua taji hilo mara 12. Ni mechi ambayo wana […]

CHIRCHIR: HAKUNA ARDHI HURU KWA ADANI

Waziri wa Uchukuzi Davis Chirchir amethibitisha kuwa serikali ilikataa pendekezo la kampuni ya India, Adani Airport Holdings Ltd, la kununua ekari 30 za ardhi karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa ajili ya mali isiyoweza kuhamishwa na maendeleo ya kibiashara. Akiwa mbele ya Kamati ya Seneti ya Barabara na Uchukuzi […]

KAIMU INSPEKTA JENERALI WA POLISI GILBERT MASENGELI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 6 JELA

Mahakama Kuu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali Gilbert Masengeli kifungo cha miezi kwa kosa la kudharau mahakama.mahakama. Jaji Lawrence Mugambi ameamuru ajiwasilishe kwa kamishna mkuu wa magereza ili aanze kutumikia kifungo chake baada ya mkuu wa polisi kukosa kuheshimu wito wa mahakama mara saba mfululizo. Imetayarishwa na Janice Marete

GAVANA WA KAUNTI YA KAKAMEGA FERNANDES BARASA AMRISHWA NA CHAMA CHA ODM KUFIKA MBELE LAKE KUHUSU MZOZO WA UONGOZI WA BUNGE

Baraza kuu la ODM limewaita Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa, spika wa bunge la kaunti James Namatsi na aliyekuwa kiongozi wa wengi Philip Maina kuhusu mizozo katika uongozi wa bunge. Katibu Mkuu Edwin Sifuna amesema watatu hao wamekuwa wakivuruga uamuzi wa chama kuchukua nafasi ya Maina na Geoffrey Ondiro kama kiongozi wa wengi. Wito huo […]

WANAFUNZI WASIOJIWEZA WATAPEWA BASARI KAUNTI YA BUNGOMA

Wanafunzi katika kaunti ya Bungoma wanatarajiwa kunufaika na basari kufuatia fedha ambazo kaunti hiyo imetenga kwa ajili ya kutoamsaada wa basari kw a wanafunzi ambao wametoka katika familia zisizojiwezakaunti ya Bungoma imetenga kima cha shilingi milioni 180 kufanikisha elimu ya Watoto wasiojiwezaafisa katika wizaara ya elimu Sam Nalwa amesema kuwa serikali ya kaunti imejitolea kuimarisha […]