KMPDU YAPENDEKEZA UCHUNGUZI WA MADAI YA UFISADI KATIKA SEKTA YA AFYA KUFANYWA
Muungano wa madaktari nchini Kenya KMPDU unapendekeza uchunguzi wa wazi kufanyika kuhusu madai yaliyoibuliwa ya ufisadi katika sekta ya afya. Katibu mkuu katika muungano wa KMPDU Dkt Davji Atella ametilia shaka jinsi kandarasi zinavyotolewa kwa kampuni za kigeni ambazo zinalaumiwa kwa kusambaza vifaa duni na kusababisha wizara ya afya kupoteza mamilioni ya fedha. Imetayarishwa na Janice Marete
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































