POLISI WAATHIRWA WAKUBWA, KANJA AFICHUA
Katika juhudi za kuboresha utendakazi wa polisi na kuimarisha huduma yao kwa wananchi, Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja ameongoza mkutano wa kujadili matatizo ya akili na msongo wa mawazo miongoni mwa maafisa hao ili kupata suluhu. Kongamano hilo ambalo limeandaliwa jijini Nairobi limewaleta Pamoja maafisa wakuu wa idara ya polisi na wale wa upelelezi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































