SERIKALI YAKODISHA VIWANDA VYA SUKARI ILI KUFUFUA SEKTA YA SUKARI
Serikali imeanzisha hatua mpya ya kufufua sekta ya sukari nchini kwa kukodisha viwanda vinne vya sukari kwa kipindi cha miaka 30 vilivyokuwa vikikumbwa na changamoto kubwa za kifedha. Kampuni ya Kibos Sugar and Allied Industries Limited imechukua usimamizi wa Chemelil Sugar, Muhoroni Sugar Factory sasa iko chini ya West Valley Sugar Company, West Kenya Sugar […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































