MICHEZO YA SHULE ZA UPILI ZIMESHIKA KASI
Michezo ya shule za sekondari muhula wa pili, ambayo inajumuisha Raga ya wachezaji saba (Rugby 7’s),kandanda, mpira wa vikapu 3×3, voliboli, mpira wa pete (netball) miongoni mwa mingine,imeng’oa nanga katika ngazi za kanda katika maeneo mbalimbali nchini. Kocha mkuu wa mabingwa wa zamani wa raga ya wachezaji saba ya Koyonzo Boys, EliudOkwemba, ametaja kuwa ana […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































