HARRIET OKACH ATEULIWA KUA MWENYEKITI WA KRU
Harriet Okach ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Raga nchini (KRU), na kuwa mwanamke wa kwanza kabisa kushikilia wadhifa huo katika historia ya shirikisho hilo. Uteuzi wake ulithibitishwa Alhamisi, kufuatia kujiuzulu kwa Alexander ‘Sasha’ Mutai wiki jana. Katika hotuba yake ya kwanza baada ya uteuzi huo, Okach aliahidi kuwaleta washikadau wote pamoja kwa ajili ya […]
English 

















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































