POGBA ATANGAZA KUREJEA UWANJANI

Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa Paul Pogba ambaye amekuwa akitumikia marufuku kutokana na utumizi wa dawa za kusisimua misuli, amesema kwamba anafanya mazungumzo na klabu moja ili kuichezea. Licha ya Pogba kukosa kuweka wazi klabu hiyo, walio karibu naye wanasema ni Monaco, na kurejea kwake kutakamilisha miaka 3 ya kukosa kusakata […]

POLICE FC WATAWAZWA MABINGWA KPL

Klabu ya Police FC imejikatia tiketi ya kushiriki mashindano ya klabu bingwa barani Afrika msimu ujao baada ya kutawazwa mabingwa wa ligi kuu ya Kenya KPL hapo jana. Police waliochukua taji hilo kwa mara ya kwanza wiki moja iliyopita, wametawazwa rasmi hapo jana kwenye mechi ya mwisho ya msimu dhidi ya mabingwa wanaondoka Gor Mahia […]

MSHUKIWA MAHAKAMANI KWA ‘KUMNAJISI’ MTOTO BUSIA

Polisi katika kaunti ya Busia wanatarajiwa kumfikisha mahakamani hii leo mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 44, aliyekamatwa kwa madai ya kumnajisi mpwa wake msichana mwenye umri wa miaka 9 katika kijiji cha Nabutuki eneo bunge la Funyula. Kulingana na OCPD wa Samia Richard Moracha, msichana huyo alifichua unyama aliotendewa na mjomba wake na kusababisha […]

SAKAJA AJITENGA NA UHUNI NAIROBI

Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amemtaka kamanda wa polisi eneo la Nairobi George Sedah kuwahakikishia ulinzi wa kutosha wakenya watakaoshiriki maandamano Jumatano hii, huku akijitenga na taarifa kwamba aliwafadhili wahuni kuwahangaisha waandamanaji na wapita njia jijini Nairobi wiki jana. Aidha, Sakaja amewataka polisi kuwakamata watu waliohusika na vurugu zilizoshuhudiwa wakati wa maandamano hayo. Haya yanajiri […]

HOFU YAENDELEA MWIKI KUHUSU MAUAJI

Wakazi wa mwiki eneo bunge la Kasarani jijini Nairobi wameendelea kulalamikia visa vya utovu wa usalama na madai ya polisi kutumia nguvu kupita kiasi, baada ya mwenzao kwa jina Joshua Stephen mwenye umri wa miaka 18 kudaiwa kupigwa risasi na afisa wa polisi wakazi walipokuwa wakiandamana kulalamikia mauaji ya Abigael Wanjiku mwenye umri wa miaka […]

WETANG’ULA AHIMIZA KANISA KUOMBEA NCHI

Viongozi wa kisiasa wameshauriwa kujitenga na siasa za migawanyiko na badala yake kujihusisha na mijadala inayoweza kuchangia kuendelea kwa taifa. Akizungumza katika kaunti ya Bungoma, spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula, amelitaka kanisa kuwa mstari wa mbele katika kuombea mshikamano wa taifa. Imetayrishwa na Antony Nyongesa

GACHAGUA: SERIKALI INAFADHILI WAHUNI

Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ambaye pia ni kinara wa chama cha DCP,amemshutumu Rais William Ruto kwa madai kwamba anafadhili makundi ya wahuni kuendeleza vurugu dhidi ya viongozi wa upinzani nchini akiwemo Gachagua mwenyewe. Akizungumza kwenye kaunti ya Meru, Gachagua amedai kuwa serikali imekuwa ikifadhili makundi ya wahuni kuwakabili wanaofanya maandamano ya amani, na kuitaka […]

Guida completa ai migliori casinò online non AAMS

Guida completa ai migliori casinò online non AAMS Quando si parla di casino non AAMS, la prima domanda è: “Vale la pena?” La risposta è sì, soprattutto per i giocatori che cercano varietà e libertà. I casinò online stranieri non AAMS offrono una selezione di giochi più ampia, con slot di produttori internazionali, tavoli live […]

KINDIKI ASIFIA E-CITIZEN

Serikali imeweza kukabili ufisadi kupitia utoaji wa huduma zake kwenye mfumo wa Ecitizen kinyume na ilivyokuwa hapo awali. Akiongea katika mkao unaofanyika hapa Nairobi wa baraza la mawaziri na wakuu wengine wa serikali naibu wa rais Kithure Kindiki anasema mfumo huo pia umesaidia kuongeza mapato ya serikali na kufanikisha huduma nyingine tofauti. Imetayrishwa na Antony […]

EACC YAREJESHA ARDHI YA UMMA

Tume ya kukabili ufisadi EACC imefaulu kurejesha vipande 12 vya ardhi ya umma iliyokuwa imenyakuliwa katika kaunti za Kakamega, Bungoma na Busia. Akizungumza huko Mumias meneja wa EACC tawi la magharibi Eric Ngumbi anasema ardhi hizo zilichukuliwa na watu binafsi wakishirikiana na wafanyikazi wa serikali. Anasema kwa sasa wanafuatilia vipande vingine 56 vinavyoaminika kutwaliwa na […]