KENYA KUANDAA FAINALI ZA CHAN
SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi zitakazoandaa sherehe za ufunguzi na fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) mwaka huu. Kenya imepewa haki ya kuandaa fainali, huku mechi ya ufunguzi ikifanyika nchini Tanzania. Uganda itakuwa mwenyeji wa mechi ya mshindi wa tatu/nne kama ilivyotangazwa na CAF kupitia tovuti […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































