DCI KUCHUNGUZA MADAI YA SIMU YA TALAM KUTUMIKA
Idara ya Dci imeagizwa kuchunguza madai ya kutumika kwa simu ya Ocs wa kituo cha central kutuma jumbe za kuitisha fedha kutoka kwa watu tofauti. Hakimu mkuu katika mahakama ya milimani Benmark Ekhubi ameutaka upande wa mawakili wake Samson Talam kutotumia suala hilo kutia doa kwenye uchunguzi unaoendeshwa na mamlaka ya Ipoa. Simu yake Talam […]
English 


































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































