JIANDAENI KWA MEZA KAVU, WAKENYA WAONYWA
Wakenya sasa watalazimika kujizatiti kununua vyakula kwa bei ya juu katika siku za hivi karibuni kutokana na mfumuko wa bei ya vyakula na mifumo mibaya ya hali ya hewa. Katika ripoti yake ya hivi punde kwa kamati bajeti, afisi ya inayosimamia bajeti bungeni imebashiri kipindi cha mvua iliyo chini ya wastaniinayotarajiwa kuanzia mwezi wa Oktoba hadi Desemba mwaka wa 2025, hali inayotarajiwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































