NPS YAENDELEZA AFYA YA KIAKILI
Idara ya huduma za polisi NPS imeanzisha juhudi za kuimarisha afya ya kiakili ya maafisa wake kupitia mafunzo yanayotolewa kwa washikadau wakwemo wataalam wa ushauri nasaha na wanasaikolojia ambao hushughulikia afya ya kiakili ya maafisa hao. Mafunzo hayo ya siku 4, yanatolewa kwa ushirikiano na shirika la International Justice of Kenya, yakiwalenga watu 43 walio na jukumu la kutoamsaada kwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































