IEBC YAKAMILISHA UIDHINISHAJI WAKE
Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imekamilisha zoezi la kuwaidhinisha wagombeaji wa chaguzi ndogo za Novemba 27 katika maeneo yote 24 nchini, na kupisha rasmi kipindi cha kampeni kwa wagombeaji kusaka uungwaji mkono wa wapiga kura. Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon, amesema tume hiyo imetenga muda wa siku 10 kushughulikia mgigogoro yoyote za uteuzi, […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































