MAGAVANA WAILAUMU WIZARA KWA CHANGAMOTO ZA SHA
Mojawapo ya changamoto zinazotatiza utekelezaji wa bima ya afya ya jamii SHA ni hatua ya serikali kuu kukosa kushirikiana na serikali za kaunti kwenye utekelezaji wa bima hiyo, hatua ambayo imeathiri utoaji wa huduma za matibabu chini ya bima hiyo. Haya ni kwa mujibu wa magavana wakiongozwa mwenyekiti wa baraza la magavana Ahmed Abdullahi, wakiongeza […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































