IEBC YATAKIWA “KUCHEZESHA” CHAGUZI KISHERIA

Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya chaguzi ndogo kufanyika katika baadhi ya maeneo nchini, tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imetakiwa kuhakikisha uwazi, usawa na uhuru kwenye uchaguzi huo. Wakizungumza kwenye kampeni katika wadi ya Kariobangi North, uongozi wa chama cha ODM ukiongozwa na mwenyekiti wa kitaifa Gladys Wanga, umeitaka tume hiyo kuhakikisha mwongozo […]

Stylish Good Quality Chamber Maid Uniform 35hl74

Links Dealer wholesale sex toys Contact Your Manager Voice Control Wireless Strap On Vibrator SEXIITRINA.COM Piss Urinal With Cock Cage SEXIITRINA.COM Night Elf Wolf Dick – 02 SEXIITRINA.COM Lovely Multi-color Lace Sexy Bra Set SEXIITRINA.COM Finger Silicone Butt Plug SEXIITRINA.COM Satin Waist Bondage BESTXXXSEXTOY.COM Funnel Enema Plug BESTXXXSEXTOY.COM Realistic Skin Like Pocket Pussy SEXIITRINA.COM Heart […]

GAVANA WA NYAMIRA KUBANDULIWA MAMLAKANI

Mwakilishi wadi ya bonyamatuta Julius Matwere amewasilisha rasmi hoja inayolenga kumwondoa ofisini gavana wa kaunti ya Nyamira Amos Nyaribo. Akiwasilisha hoja hiyo bungeni mapema hii leo Matwere amemtuhumu gavana Nyaribo kwa kuvunja sheria na utumizi mbaya wa mamlaka kama vyanzo vikuu vya kutaka gavana huyo atimuliwe ofisini. Hili ni jaribio la tatu kwa wakilishi wadi […]

USAJILI WA MAKURUTU UNAENDELEA KOTE NCHINI

Zoezi la kuwasajili makurutu wa polisi yaendelea kote nchini hata hivyo katika kaunti ya Mombasa idadi ndogo imeshuhudiwa huku baadhi ya vijana wakishindwa kushiriki baada ya kufika wakiwa wamechelewa. Afisa anayesimamia zoezi hilo eneo la Mvita Simon Ndiwa amewataka vijana kujitayarisha mapema kwa kuhakikisha wana stakabadhi zinazohitajika kwa usajili wa makurutu. Imetayarishwa na Jones Koikai

KENYA YAIMARISHA SHERIA  KUUNDA AJIRA ZAIDI KWA WAKENYA

Mswada wa Marekebisho ya Haki (Marekebisho) ya 2025 unalenga kurekebisha utoaji wa haki za kidiplomasia kwa mashirika ya maendeleo ya kigeni yanayofanya kazi nchini Kenya, ikiwa ni pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali na wakfu kama vile Oxfam na Save the Children. Chini ya mabadiliko yaliyopendekezwa, angalau theluthi mbili ya wafanyikazi wa shirika lazima wawe […]

HAALAND AIREJESHA NORWAY KOMBE DUNIA

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Erling Haaland amelirejesha taifa lake la Norway katika dimba la kombe la dunia baada ya miaka 28, baada ya kufunga mara 2 katika ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya miamba walioporomoka Italia. Haaland alifunga mabao hayo katika dakika ya 78 na 79, na kuzima kabisa ndoto ya Italia waliohitaji […]

KOMBE LA DUNIA: DR CONGO YAWEKA HAI MATUMAINI

Timu ya taifa ya soka ya DR Congo iliweka hai matumaini ya kushiriki mtanange wa kombe la dunia mwaka ujao baada ya kuwakata kucha Super Eagles wa Nigeria katika fainali za mwondoano wa shirikisho la soka barani Afrika CAF jana usiku nchini Morocco. Leopards, jinsi wanavyofahamika walizima ndoto ya Nigeria kwa kuwalaza mabao 4-3 kupitia […]

HOMEBOYZ WASHINDWA KUREJEA ‘NYUMBANI’

Klabu ya Kakamega Homeboyz ilipoteza nafasi ya kurejea kileleni mwa jedwali la ligi kuu ya soka KPL kufuatia kichapo cha mabao 2-0 mikononi mwa Mathare United wikendi hii, na kuwapa Gor Mahia nafasi ya kuendelea kuongoza licha yao kukosa kuwa na mechi wikendi hii. Homeboyz ambao wamecheza mechi 9 kufikia sasa, wana pointi 15 katika […]

KENYA KUJIOKOA KWENYE DEAFLYMPICS

Kikosi cha Kenya kinachoshiriki mashindano ya Deaflympics ya mwaka huu jijini Tokyo, Japan kitalenga kusaka medali yake ya kwanza hii leo, baada ya kuanza vibaya mashindano hayo kwa kichapo kufuatia kushindwa kwa timu ya handiboli ya wanawake kwenye mashindano hayo hapo jana. Timu hiyo ya wachezaji wasio na uwezo wa kusikia ilicharazwa pointi 104-30 mikononi […]

NTSA KUWAKAGUA MADEREVA

Ukaguzi upya wa madereva kubaini uwezo wao wa kuendesha magari ya uchukuzi ni miongoni mwa mikakati iliyoratibiwa katika juhudi za mamlaka ya usalama barabarani NTSA kudhibiti visa vya ajali. Kulingana na mamlaka hiyo, watu elfu 21 wameathirika na ajali mwaka huu pekee, na kuwataka madereva kuwa waangalifu hasa msimu huu wa Krismasi. Imetayarishwa na Antony […]