RUTO AMTETEA MUSEVENI KUHUSU BANDARI
Rais William Ruto ametetea kauli ya mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni za kutaka sehemu ya Bandari ya Mombasa, akishutumu vyombo vya habari kwa madai ya kueneza propaganda kuhusu suala hilo. Akizungumza jijini Tororo, Ruto amedai kuwa kauli hizo zilinukuliwa visivyo na vyombo vya habari, akisisitiza kuwa uhusiano wa Kenya na Uganda ni dhabiti. Mapema mwezi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































