UEFA YAENDELEA
Mechi ya 6 kati ya 8 za ligi ya klabu bingwa bara Ulaya itasakatwa usiku huu ambapo jumla ya mechi 9 zitachezwa katika nyuga mbali mbali. Miongoni mwa mechi kuu ni pambano kati ya Barcelona na Eintracht Frankfurt, na Bayern Munich dhidi ya Sporting na kisha Inter Milan dhidi ya Liverpool. Iwapo Bayern na Inter […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































